JOSHUA KURUDIANA NA BONGE SAUDI ARABIA
PAMBANO la marudiano kati ya Andy Ruiz Jr na Anthony Joshua litafanyika mwezi Desemba mwaka huu nchini Saudi Arabia, promota wa Joshua, Eddie Hearn,...
IMEVUJA!! MDHAMINI MKUU LIGI KUU BARA KUTANGAZWA
Baada ya msimu uliopita kunako Ligi Kuu Bara kumalizika bila ya kuwa na mdhamini mkuu, taarifa za ndani zinasema Shirikisho la Soka la Tanzania...
NAMNA LIVERPOOL ILIVYOTWAA NDOO SUPER CUP BILA ALISSON BECKER
TIMU ya Liverpool usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2019, katika Uwanja wa Vodafone mjini Instanbul nchini Uturuki imefunga timu ya Chelsea kwa mikwaju...
YANGA YAKUBWA NA MSALA, MAKOMANDOO WAJIONDOA, WAANDIKA BARUA, IDADI KAMILI HII HAPA
Imeelezwa kuwa kundi la Task Force lililokuwa linahusika na kulinda timu ya Yanga katika michezo mbalimbali limeandika barua ya kuvunja na kujiondoa rasmi katika...
SIMBA:TUNAITAKA NGAO YA JAMII, TUTAPAMBANA MBELE YA AZAM FC
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna namna yoyote ile watakayofanya mbele ya Azam FC kwenye mchezo wao wa ngao ya jamii zaidi ya kushinda...
AZAM FC YAANZA KUIWINDA SIMBA, YAPANIA KUFANYA MAAJABU
AZAM FC tayari wameanza maandalizi ya kuiwinda Simba kwenye mchezo wa ngao ya jamii utakaochezwa Agosti 17 uwanja wa Taifa.Mchezo huo maalumu kwa ajili...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
MECHI MOJA TU KIMATAIFA, SIBOMANA AWEKA REKODI CAF
Mshambuliaji wa Yanga, Patrick Sibomana Jumamosi iliyopita aliweka rekodi mpya kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambayo inasimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf).Mshambuliaji...
UTATA KIFO FRANCIS CHEKA: MKEWE AFUNGUKA KILA KITU – VIDEO
Siku chache zilizopita ulizuka uvumi wa kwamba bondia, Francis Cheka, amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta...
TABU NYINGINE YAIANDAMA YANGA, MMOJA NJE KWA MUDA USIOJULIKANA
Beki wa kulia ya Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ sasa atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata Jumamosi iliyopita...