KOCHA YANGA APANIA KUUFIKISHA MUZIKI KIMATAIFA
JUMA Pondamali, aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Yanga amesema kuwa kwa sasa atapambana na muziki kuufikisha hatua za kimataifa.Pondamali kwa sasa amekacha kazi...
YANGA YAENDA CHIMBO KUTAFUTA DAWA YA TOWNSHIP ROLLERS
KIKOSI cha Yanga leokimeanza safari kuelekea nyanda za juu kaskazini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Township Rollers.Mwenyekiti...
PAUL POGBA BADO PASUA KICHWA NDANI YA UNITED
PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United amefungua mjadala mpya juu ya ishu yake ya kutaka kutimka ndani ya kikosi hicho.Pogba kabla ya msimu alisema...
SERIKALI YAIPA TANO ZA KUTOSHA TANZANITE
NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Juliana Shonza amesema kuwa mafanikio ya timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite'...
YANGA: SIBOMANA, BALINYA WATATUFIKISHA MBALI KITAIFA NA KIMATAIFA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kasi ya Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi itawabeba kitaifa na kimataifa.Zahera amesema...
SIMBA YAIPIGIA HESABU KALI AZAM FC
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa mpango wake anauwekeza kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC utakaochezwa...
KUMBE! ROLLERS YAIPELEKA YANGA KILIMANJARO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kukimbilia Kilimanjaro kuweka kambi ni mazingira ya mkoa huo kuendana na yale ya nchini Botswana wanakotokea...
JKT WAIKACHA BONGO, WATIMKIA VISIWANI HUKO KWENYE UPEPO
KIKOSI cha JKT Tanzania kimejichimbia Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimu vumbi Agosti 23.JKT...
TANZANITE YAREJEA KIBABE, MBALI NA KOMBE WAMEBEBA TUZO NNE
JULIANA Shonza, Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ameongoza msafara ulioipokea timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' ambayo...