ROLLERS: YANGA SIO WA MCHEZOMCHEZO, TUTAPAMBANA NAO KIBISHI NYUMBANI

0
THOMAS Truch, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa wamepambana na kikosi chenye ushindani jambo lililofanya wapate sare licha ya kutangulia kufunga.Rollers jana ilikubali...

NYOTA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC, DILI YA AFRIKA KUSINI YABUMA

0
ADAM Salamba mchezaji wa Simba dili lake la kujiunga na timu ya Polokwane FC ya Afrika Kusini limebuma na sasa anarejea Bongo kujiunga na...

HALI YA MLINDA MLANGO NAMBA MOJA WA LIVERPOOL BADO KIZUNGUMKUTI

0
JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa hali ya mlinda mlango Alisson inamtia hofu baada ya kuumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Norwich...

SIBOMANA WA YANGA ATAJA KILICHOMFANYA AKOSE PENALTI JANA KIMATAIFA

0
PATRICK Sibomana, mshambuliaji wa Yanga raia wa Rwanda amesema kuwa kilichomponza ashindwe kufunga penalti jana mbele ya Township Rollers ni hofu aliyokuwa nayo mwanzo...

SINGIDA UNITED YAJICHIMBIA MWANZA

0
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea kujiweka sawa kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa...

SASA SIMBA WAHAMISHIA HASIRA MCHEZO WA MARUDIO KIMATAIFA, WAWAITA MASHABIKI

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mpango mkubwa wa kikosi chake ni kwenye mchezo wa marudio dhidi ya UD SongoSimba jana ilicheza...

JESHI KAMILI LA AZAM FC LITAKALOANZA LEO DHIDI YA FASIL KENEMA

0
Kikosi rasmi cha Azam FC kinachotarajia kukipiga dhidi ya Fasil Kenema 16 Razak Abalora14 Nickolas Wadada22 Salmin Hoza05 Yakubu Mohammed15 Oscar Masai03 Daniel Amoah28 Abdallah...

MANCHESTER UNITED NA CHELSEA LEO KITAWAKA, MAMENEJA WA TIMU ZOTE WALIKUWA WACHEZAJI WA TIMU...

0
MANCHESTER United leo itawakaribisha Chelsea kwenye mchezo wa kwanza ambao United inakuwa nyumbani Uwanja wa Old Trafford.Agosti 11, leo Jumapili vumbi itatimka kwa wababe...

NEWCASTEL UNITED KUTUMIA AKILI LEO MBELE YA ARSENAL

0
STEVE Bruce, Meneja wa kikosi cha Newcastle United amesema kuwa leo atapambana kupata matokeo chanya mbele ya Arsenal. "Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu hilo lipo...

ARSENAL KUANZISHA MASHINE ZAKE MPYA LEO MBELE YA NEWCASTLE UNITED

0
UNAI Emery, Meneja wa Arsenal amesema kuwa leo atawatumia wachezaji wake wengi wapya kwa kuwa anaamini wapo fiti.Mchezo wa kwanza leo Arsenal atamenyana na...