MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

TOWSHIP ROLLES WAPATA MCHECHETO KWA YANGA LEO

0
THOMAS Trucha, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa wapo tayari kwa ushindani wa leo mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya...

SIMBA : TUPO TAYARI KUPAMBANA LEO NA UD SONGO

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watapambana kupata matokeo mbele ya UD do Songo utakaochezwa nchini Msumbiji.Simba jana ilikwea kwa dege...

YANGA LEO TUNAMALIZANA MAHESABU MAPEMA KWA TOWNSHIP ROLLERS

0
NOEL Mwandila, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi ya hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika dhidi...

DUH HAWA NDIO WABAYA WA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

0
 1959 ni mwaka ambao Township Rollers ilianzishwa nchini Botswana na leo itamenyana na Yanga uwanja wa Taifa majira ya saa 12:00Jumla ya mataji 15...

KAGERA ATOA NENO ZITO UKO SIMBA,ZAHERA ATOA NENO KWA TOWNSHIP ROLLERS

0
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumamosi kuna ishu ya Simba huko Msumbiji bila kusahau Yanga na mipango yao kimataifa, makala na chambuzi makini

YANGA SASA KULA SAHANI MOJA NA WABOTSWANA, WATUA BONGO KIBABE

0
YANGA leo imerejea kutoka visiwani Zanzibar ambapo waliweka kambi maalumu kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Township Rollers utakaochezwa kesho uwanja wa...

NJAA ALIYONAYO KAGERE, IINGIE KWENU ILI MPIGANIE MAFANIKIO

0
Na Saleh AllyWIKIENDI hii msimu mpya wa 2019/20, utaanza rasmi katika sehemu mbalimbali duniani. Tunaanza kuona mpira wa ushindani na kujifunza mengi wakati tukiburudika.Wakati...

CHONDE YANGA HAWA TOWNSHIP ROLLERS SI WATU WA KUBEZA HATA KIDOGO

0
NA SALEH ALLYKESHO Yanga watakuwa kazini kuwawakilisha Wanayanga na Watanzania katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers kutoka nchini Botswana.Rollers si...