RASMI YANGA YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, ASAINI MWAKA MMOJA

0
DAVID Molinga amejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo.Nyota huyu ambaye ni mshambuliaji ni pendekezo la Kocha Mkuu,...

SIMBA YAMWAGIWA MAMILIONI, SASA KUTOTUMIA HATA SHILINGI YA MFUKONI

0
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa mwaka huu Simba hawatatoa hata shilingi mfukoni kununua vifaa vya mpira kutokana na dili...

MUSSA MBISSE MLINDA MLANGO ALIYEKUWA NA MALENGO YA KUWA PADRI KWA SASA YUPO MWADUI

0
 MUSSA Mbisse mlinda mlango wa Mwadui FC awali hakuwa na mpango wa kuwa mchezaji bali ndoto zake ilikuwa aje kuwa mtumishi wa Bwana.Maono yake...

MCHAKAMCHAKA WA AZAM FC KIMATAIFA NI MOTO

0
KIKOSI cha Azam FC kinaedelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao kimataifa wa kombe la Shirikisho dhidi ya Fasil...

LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE

0
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili ya msimu ujao.Meneja huyo...

TFF YATAJA KILICHOINYIMA USHINDI STARS MBELE YA KENYA

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakwenda kufanya vema nchini Kenya...

YANGA AMUENI, KINDOKI ANASTAHILI AONDOKE, SHIKALO NA WATANZANIA ITAWEZEKANA

0
Na Saleh AllyYANGA imeanza maandalizi ya msimu mpya ikijiandaa katika kambi yake ambayo iko mjini Morogoro kwa siku kadhaa sasa.Kambi hiyo imekuwa ikiendelea vizuri...

MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA

0
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya...

MJI KASORO BAHARI WAIBUKA NA KUCHOTA MAMILIONI YA SPORTPESA, NI BAADA YA ARUSHA KUTAMBA...

0
Mkazi wa Kilombero, Morogoro, Bw. Patrick Fidelis Ndwanga akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya...

ILE ISHU KWAMBA EMMANUEL OKWI ANAREJEA SIMBA, IKIWEZEKANA MCHONGO UKO HIVI….

0
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachana na klabu hiyo, kuna uwezekano mkubwa akarejea tena kikosini hapo kuendelea...