RASMI HARUNA NIYONZIMA AACHANA NA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kuwashukuru kwa yote waliyoshirikiana kwa kipindi cha misimu miwili ndani ya...
AJIBU PASUA KICHWA, AWAZIMIA SIMU MABOSI WA TP MAZEMBE
UNAAMBIAWA TP Mazembe, bado wamemkomalia nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu ambaye usajili wake uliingia doa kwa kushindwana kwenye malipo.Wakala wa TP Mazembe, Patrick Mazembe...
ADHABU YA WARDA WA MISRI, BADO INABAKI NA UJUMBE KWETU
Na Saleh Ally, CairoGUMZO kubwa la hapa Misri ni kuondolewa kwa kiungo Amr Warda katika timu ya soka ya taifa ya Misri.Inakuwa vigumu kujua...
BREAKING; SIMBA YASAJILI WABRAZIL WATATU
BEKI Tairone Santos da Silva (30) amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba.Santos Amejiunga na Simba akitokea timu ya Atletico Cearense FC...
MATOLA WA POLISI TANZANIA KUIBOMOA YANGA NA LIPULI
BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi, huenda akatua Polisi Tanzania iliyo chini ya Suleman Matola ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Mwinyi kwa sasa yupo huru...
DIDA NAYE MGUU NJE NDANI SIMBA, ATAJWA KUIBUKIA NAMUNGO
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba mbili wa Simba, Deogratius Munish 'Dida' anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho na kutimkia Namungo FC.Habari zimeeleza kuwa kwa...
MAURIZIO SARRI KIBOKO KWA SIKU ANAVUTA ‘MISIGARA’ KIBAO
MENEJA wa Juventus, Maurizio Sarri amesema kuwa huwa anavuta sigara nyingi kwa siku ili kujiskia vizuri baada ya mechi.Sarri ambaye ametimka Chelsea kwa kile...
SIMBA YAFUATA KIUNGO URENO
BAADA ya kukamilisha usajili wa Wabrazil wawili, mabosi wa Simba wamepanga kushusha kiungo kutoka nchini Ureno atakayekuja kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwenye...
MONDI AMPA MSALA KIBA!
DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa...
MASTAA YANGA WAANZA KUTUA AIRPORT
WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi ya timu hiyo inayotarajiwa...