WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.Magori amesema wachezaji...
NIGERIA WABABE KINOMA KWA TUNISIA, DAKIKA 90 ZITAAMUA LEO
UWANJA wa Al Salam leo nchini Misri wanaume 22 watazitikisa nyasi kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Afcon.Nigeria itamenyana na...
AKILI ZA KIPUUZI ZA UWOYA YES, LAKINI CHANGANYA NA ZAKO BASI….
*Walioingia mtegoni, wanapaswa kujitafakariNa Saleh AllyUTAMBULISHO mzuri kwa sasa ni kuwa Irene Uwoya ni mfanyabiashara anayechipukia. Mwanadada ambaye angepaswa kupongezwa kutokana na wazo lake...
RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP
RATIBA ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup ipo namna hii:-Friends Rangers v Uv Temeke uwanja wa Kinesi, Julai 18.Burudani FC v Ball...
AZAM FC WACHEKELEA KUIPOTEZEA RAMANI TP MAZEMBE
OFISA Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wachezaji na uongozi wa timu kwa sasa wanafuraha baada ya kuwang'oa vigogo TP Mazembe.Jana Azam...
IRENE UWOYA, STEVE NYERERE WAITWA BASATA
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limewataka wasanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufika katika ofisi za baraza hilo kesho, Julai...
SABA WA SIMBA KIKOSI CHA KWANZA KUTOLEWA KWA MKOPO KWENDA TIMU HIZI
UONGOZI wa Simba umepanga kuwatoa kwa mkopo wachezaji wake Saba ambao wamekosa namba ndani ya kikosi cha kwanza.Ofisa Mtendaji wa Simba, Cresnticentius Magori amesema...
BEKI MUSTAFI SHKODRAN AGOMA KUSEPA ARSENAL
SHKODRAN Mustafi, beki wa Arsenal amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Mustafi amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho...
SIMBA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI AFRIKA KUSINI
SIMBA wameamua kujiweka sawa msimu huu ambapo baada ya kukwea pipa na kuweka kambi Afrika Kusini tayari wametangaza kucheza mechi tatu za kirafiki ili...