AZAM FC WAFICHUA SIRI KUWANG’OA TP MAZEMBE KAGAME
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC, amesema kuwa siri kubwa ya timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kagame ni...
WINGA MPYA YANGA AAHIDI KUIPOKA SIMBA KOMBE LA LIGI KUU
Winga mpya matata wa Yanga Mnyarwanda, Patrick ‘Papy’ Sibomana amefurahia mapokezi aliyoyapata Jangwani na kuahidi kuifanyia makubwa timu hiyo ikiwemo kuipa mataji ya ubingwa.Kauli...
NYOTA MPYA SIMBA ATAJA KILICHOIPA UBINGWA MSIMU ULIOPITA
BEKI wa kikosi cha Simba Gadiel Michael amesema kuwa kikosi cha Simba kipo imara tangu msimu uliopita jambo lililoipa ubingwa.Gadiel kwa sasa yupo na...
AZAM FC V TP MAZEMBE JINO KWA JINO LEO
IDDY Naldo mshambuliaji wa Azam FC dk 28 anairejesha mchezoni timu yake baada ya kusawazisha bao 1-1 bao lililofungwa na Ipammy Giovany dk ya...
DOZI YA SIMBA AFRIKA KUSINI NI MOJA MARA MBILI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa dhamira kubwa ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini ni kujiweka sawa kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20...
HILI NDILO JESHI LA AZAM FC LINALOTOANA JASHO NA TP MAZEMBE LEO KAGAME
Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachomenyana na TP Mazembe kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Nyamirambo leo Jumanne 16 Razak...
MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR
Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.Urikhob ametua nchini na sasa ataelekea mjini...
EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA
Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa...
CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA
Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye...
HILO DAU LA LEROY SANE WA MANCHESTER CITY LAZIMA UKAE
UONGOZI wa timu ya Bayern Munich umethibitisha suala la kuitaka saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kari Heinz Rummenigge...