SIMBA YAAHIDI KUCHUKUA MATAJI YOTE TANZANIA – VIDEO

0
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumzia kuhusiana na suala la timu yao kuendelea kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara.

LUKAKU APATA TIMU MBADALA

0
INTER Milan imethibitisha kuwa ipo kwenye harakati za kumsajili straika wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte anamtaka Lukaku ili...

MNAMIBIA WA YANGA KUMBANA NA MTIHANI MZITO

0
UONGOZI wa Yanga hivi karibuni umemkabidhi mshambuliaji wake raia wa Namibia, Sadney Urikhob jezi namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na Mrundi, Amissi Tambwe.Kutokana na...

FRED MINZIRO AKUNJA JAMVI NDANI YA SINGIDA UNITED

0
FRED Minziro aliyekuwa Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kwa sasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya kumaliza mkataba wake ndani...

MBAPPE AWEKEWA NGUMU KUSEPA PSG AAMBIWA LABDA ALAZIMISHE

0
KYLIAN Mbappe mshambuliaji wa PSG amewekewa ngumu na uongozi wa kikosi hicho kutimka ndani ya kikosi hicho kutokana na mkataba wake kumtaka aendelee kubaki...

ANTOINE GRIEZMANN AINGIA KWENYE REKODI YA WACHEZAJI GHALI

0
ANTOINE Griezmann amejiunga na Barcelona kwa kusaini kandarasi ya miaka mitano akitokea kikosi cha Atletico Madrid.Nyota huyo mwenye miaka 28 anayekipiga timu ya Taifa...

MARIO BALOTELLI APATA DILI LA MAANA PARMA FC

0
MARIO Balotelli ambaye ni straika huenda akatua kwenye kikosi cha Parma baada ya kumalizana na kikosi cha Marseille.Mkurugenzi wa klabu hiyo, Daniele Faggiano ameweka...