KIPA MPYA YANGA AMTAJA YONDANI

0
Kipa mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa sababu ni mchezaji mkubwa...

AJIBU, GADIEL WAPELEKWA MAMELODI SUNDOWNS

0
Wachezaji wapya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael watakutana na zali la kupelekwa katika Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ambako timu...

NDAYIRAGIJE APANIA REKODI KUBWA

0
Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea kombe lao hilo.Azam FC...

YANGA NAYO YATUMA MAJINA 26 CAF TAYARI KUKIIGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, YUMO SHIKALO

0
Majina ya wachezaji 26 wa Yanga ambayo yametumwa CAF kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.MAKIPA1. Farouk Shikalo2. Metacha Mnata 3. Klaus Kindoki MABEKI4....

MSHAMBULIAJI SIMBA AMALIZANA NA TP MAZEMBE

0
Mshambuliaji wa zamani wa Simba na baadaye Aza FC, Ramadhan Singano, amejiunga na TP Mazembe ya Congo.Singano ambaye aliwahi kung'ara zaidi wakati akiwa Simba...

NOMA!! HUU NDIYO UBALAA WA MIPANGO YA YANGA MSIMU UJAO – VIDEO

0
Klabu ya Yanga imeadhimia kucheza mechi za kirafiki zisizo pungua Tano ili kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa ligi kuu.Akizungumza hii Leo na Waandishi wa...

TFF YAIJIBU SERIKALI KUHUSIANA NA KUGOMEA VIKAO VYAKE

0
Kufuatia lile sakasaka la uongozi wa TFF kugomea vikao vya serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo chini ya Harrison Mwakyembe, shirikisho...

SERIKALI YAKERWA NA TFF, TAMKO LATOLEWA

0
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa rai yake kufuatia uamuzi wa Shirikisho la Soka nchini TFF kumtimua kocha Emmanuel...