KIUNGO MPYA KUTOKA GHANA ATUA AZAM

0
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi, kwa mkataba wa mwaka mmoja...

MSUVA AMFUATA SAMATTA ULAYA

0
Nyota wa Difaa el Jadida ya Morocco, Mtanzania Saimon Msuva amefunguka kuwa kwa msimu ujao anaweza kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia barani...

KWASI ANUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU

0
Kama mlidhani Asante Kwasi amechuja, ngoja ishu yake na Biashara itiki asaini mkataba wa Kocha Amri Said.Kwasi ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao...

KAGERE, MSUDAN NDANI YA NYUMBA SIMBA

0
Wachezaji wa kimataifa wa Simba, akiwemo Meddie Kagere na Sharaf Shiboub wanaanza kuwasili jijini Dar es Salaam, kesho ijumaa tayari kujiandaa na msimu mpya...

WABABE SENEGAL NA NIGERIA WATINGA NUSU FAINALI AFCON

0
TIMU za Taifa za Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika AFCON...

SIMBA YAMPELEKA MO KWA WAZIRI MKUU

0
KIUNGO wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ ametolewa kwa mkopo rasmi na klabu yake kwenda kujiunga na Namungo FC ambayo imepanda Ligi Kuu Bara msimu...

GADIEL MICHAEL APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA SIMBA

0
GADIEL Michael nyota mpya wa Simba amesema kuwa kazi yake kubwa ni kucheza hivyo atapambana kufanya vizuri ndani ya kikosi chake kipya.Michael amesaini kandarasi...

MNAMIBIA WA YANGA AKWAMA KWAO

0
Wakati kikosi cha Yanga kikiwa kimeingia kambi rasmi juzi Jumatatu, nyota wa kigeni wa klabu hiyo, raia wa Namibia, Sadney Khoetage Urikhob ameshindwa kuripoti...

TFF WATOA TAMKO JUU YA OMOG KUINOA TAIFA STARS

0
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya Kocha Joseph Omog kuifundisha Taifa Stars.