YANGA YAZIDI KUFANYA KUFURU, MCHEZAJI MWINGINE MPYA ASAINI MIAKA MITATU – VIDEO
Yanga imezidi kuboresha makali ya kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kukamilisha usajili wa mchezaji Mapinduzi Balama kutoka Alliance Schools ya Mwanza kwa mkataba...
KOCHA AMUNIKE AONESHA JEURI DHIDI YA SENEGAL, AWEKA MIPANGO YAKE HADHARANI – VIDEO
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike alivyofunguka kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Senegal,...
HUU NDIYO UWEZO HALISI WA KIFAA KIPYA KILICHOTUA YANGA – VIDEO
Tazama uwezo wa beki Ally Allu aliyesajiliwa na Yanga kutokea KMC FC na kusaini mkataba wa miaka miwili.
KAMA UNA MTOTO MDOGO…HILI LA DStv LINAKUHUSU…ALADDIN INAKUJIA KWAKO KWA MSELELEKO ULE ULE WA...
Jumatano hii mruhusu mwanao afurahie Aladdin kupitia chaneli ya Mambo Moto 140 inayopatikana kuanzia kifurushi cha...
UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA
Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa...
MO AZUIA JARIBIO YANGA
HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda kusaini kwa watani wao...