BAADA YA KUMCHANA HAJI MANARA, AFANDE SELE ATUMA TENA UJUMBE SIMBA – VIDEO
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva Afande Sele amesema timu za Simba na Yanga zinatakiwa kujitathimini kutokana na uwanja wa timu ya Gwambina ya wilayani...
SABABU ZA CHIRWA KUJIREJESHA AZAM ZAAINISHWA HADHARANI
OBREY Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji...
MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, JUNI 22, 2019 HAYA HAPA
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo JUNI 22, 2019. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.Yasome...
Cech arejea Chelsea bila ya ‘Helmet’ yake!
Mlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa...
MISRI YAANZA AFCON NA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA ZIMBABWE
TREZEGUET AKIWA NA SALAHWenyeji wa michuano ya Afcon, Misri wameanza michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe.Mechi hiyo ya ufunguzi wa...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO JUMAMOSI NI BAB KUBWA AISEE, PATA NAKALA YAKO...
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi
SIMBA YAZIFIKIRIA WAYDAD CASSABLANCA, MAZEMBE NA ESPERANCE, YANGA YAENGULIWA
Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama...
NYIMBO MAALUM ALIYOIMBIWA HAJI MANARA NA YANGA KISA KUOMBA KIWANJA HII HAPA – VIDEO
Nyimbo maalum aliyoimbiwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, na mashabiki wa Yanga kufuatia kitendo chake cha kuomba klabu yake ipewe uwanja.
NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili...
NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO
Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya...