MWADUI WABISHI KINOMAA, WAIKOMALIA GEITA

0
Salim Aiyee mshambuliaji wa Mwadui FC leo ameibuka shujaa baada ya kufunga mabao 2 ya ushindi yaliobakiza timu yake Ligi Kuu Bara.Aiyee alianza kucheka...

Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa

0
Baada ya mechi za mtoano kumalizika,  Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja...

PLAYOFF LIVE: KAGERA SUGAR 0-0 PAMBA

0
Kagera Sugar 0-0 PambaUwanja wa KaitabaKipindi cha kwanzaMCHEZO kwa sasa kati ya Kagera Sugar na Pamba FC zote za kanda ya ziwa umeanza ikiwa...

MCHEZO WA KAGERA SUGAR V PAMBA WAINGIWA NA DOA, DAKIKA 16 ZAPITA

0
MCHEZO wa Playoff kati ya Kagera Sugar na Pamba uwanja wa Kaitaba umekumbwa na sintofahamu baada ya kupita dakika 17 bila kuanza.Mechi hiyo ambayo...

LEO NI LEO…TANZANIA vs ALGERIA….DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE ULE WA DStv...

0
@edgarkibwana anasema soka la nguvu linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee!Unaenda wapi? Furahia mechi bomba kabisa za kukata na shoka ikiwemo ya Tanzania vs Algeria...

ETO’O: STARS ITAFANYA MAAJABU AFCON

0
NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli katika mashindano ya Kombe...

ZAHERA AMGOMEA KOCHA MPYA YANGA, AANIKA SABABU ZAKE

0
KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma katakata kuchaguliwa kocha msaidizi na viongozi wake huku akiwataka wamuachie hiyo kazi yeye wa kuchagua wa kufanya naye...

LISTI KAMILI YA WACHEZAJI 10 WLAIOMWAGA WINO YANGA HII HAPA, SI MCHEZO

0
LISTI kamili inayotajwa kusajiliwa na Yanga mpaka sasa1. Issa Bigirimana (APR Rwanda)2. Patrick Sibomana- (Mukura Victory Rwanda)3. Mohammed Camara- (Horoya Guinea)4. Mustapha Suleiman- (Aigle...

HAZARD: NIMEFANYA JAMBO GUMU MAISHANI KUONDOKA CHELSEA

0
BAADA ya Real Madrid kukamilisha dili la Eden Hazard kutoka Chelsea kwa dau la Euro milioni 150, Hazard amesema amefanya maamuzi magumu kwenye sekta...