SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN

0
Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa...

MAJEMBE YA KAZI 11 YAMALIZANA FASTA NA MATAJIRI WA BONGO AZAM FC

0
KAZI bado inaendelea kwa sasa ndani ya kikosi cha Azam FC ambapo kwa sasa Azam FC nao wanaendelea na kazi ya kuongeza nguvu ya...

WANA KINONDONI BOYS ‘KMC’ HAWALALI, WASAJILI MASHINE SABA MIAKA MITATU

0
UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla ya nyota wao saba ndani ya kikosi hicho kwa kandarasi...

SIMBA HAWAPOI MTINDO WAO KIMYAKIMYA, MASHINE ZAO SABA KAMA SAA SABA

0
MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya...

AKIWA HAJAMALIZA HATA WIKI, BALINYA ATUMA MJUMBE MZITO KWA WACHEZAJI BONGO

0
NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye pacha ya ushambuliaji ya timu...

STRAIKA HATARI ORLANDO PIRATES KUTUA SIMBA, AAGA RASMI

0
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili...

SIMBA YASAJILI BEKI WA KATI MBRAZIL, TAYARI YUKO JIJINI DAR

0
Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameamua kuhamia nchini Brazil na kumsajili beki wa kati, Gerson Fraga Vieira.Vieira yuko nchini na imeelezwa ana uwezo wa...

Vieira?

0
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika...

MTU KABEBA MILIONI SABA ZA SPORTPESA KWA ULAINIIIIIIII…..

0
Mkazi wa Kinondoni Bwana Bakari Mustapha Salum, akikabidihiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 7 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi...

EXCLUSIVE!! YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY, AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI

0
Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally 'Mwarabu'  amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwiliAlly amekuwa bora ndani ya...