SERIKALI YAIPA BARAKA STARS, WAZIRI AIKABIDHI BENDERA
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza imekabidhi rasmi Bendera ya Taifa kwa Nahodha wa kikosi cha timu ya...
RUVU SHOOTING YAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA MAANGAMIZI
OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu...
Samatta anatafutwa EPL
Mtandao maarufu wa The Sun wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya...
VIDEO: MRITHI WA MAKAMBO KUTUA YANGA – VIDEO
Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini...
RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed...
KMC WAIPA AZAM FC KOCHA
UONGO ZI wa wa timu yamanispaa ya Kinondoni, KMC umesema kuwa hauna tatizo na kocha Etienne Ndayiragije iwapo atahitaji kuondoka kwani ni maisha ya soka yalivyo.Imeelezwa...
AZAM KUIFUMUA YANGA, KMC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utamtangaza kocha wa kikosi hicho hivi karibuni huku akidokeza kuwa anatoka ndani ya Ligi ya bongo.Ofisa Mtendaji Mkuu...
ZAHERA ALIAMSHA DUDE YANGA, AWAGOMEA MAKOCHA WAZAWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hatokuwa tayari kufanya kazi na kocha mzawa ambaye atatafutiwa na viongozi wa Yanga.Zahera amesema ameskia taarifa...
MCHUNGAJI MASHIMO, MANARA HAPATOSHI!
MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo amemtaka Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara kumuomba radhi msanii Amber Rutty baada ya...
EXCLUSIVE: KAPOMBE ATEMWA RASMI TAIFA STARS
Na George MgangaBeki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe, ametemwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.Kapombe aliumia siku...