LENGO kubwa la usajili wowote ule ni kuboresha pale ambapo palionekana kuna mapengo kwenye timu fulani kwa kuongeza mchezaji.Siku 30 za usajili wa dirisha dogo la usajili Bara zilifungwa wiki iliyopita huku ikishuhudia timu karibu zote zikiwa na maingizo...
KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba, Jonas Mkude amejitokeza rasmi na kuomba radhi kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu zilizokuwa zikimkabili.Mkude ambaye ni mchezaji Mwandamizi wa kikosi cha Simba hajaichezea Simba tangu  Desemba 23, mwaka jana alipocheza mchezo...

DALALI WA SIMBA AITWA TFF

0
  KUFUATIA kuikatia rufaa kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Boniface Lihamwike kwa muda wa siku 20 sasa, kupinga jina lake kukatwa katika kinyangan’yilo cha kuwania uenyekiti, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limekuita Hassan...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ameonyesha hataki mchezo ndani ya kikosi hicho kufuatia kuwataka nyota wote wa kikosi hicho akiwemo kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza kuhakikisha wanaulinda uzito waliokuwa nao katika kipindi hiki na iwapo mchezaji yeyote kati yao...

LWANGA AONDOLEWA SIMBA

0
JINA la kiungo mkabaji wa klabu ya Simba, Taddeo Lwanga limeondolewa katika orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Simba ndani ya kipindi cha dirisha dogo na kukabidhiwa kwa Shirikisho la soka Tanzania TFF.kwa ajili ya kutumika katika mzunguko wa pili...
IMEFAHAMIKA kwamba, mabosi wa Yanga wamekubaliana kumbakisha mshambuliaji Mghana, Michael Sarpong kwa masharti mazito yatakayomfanya aendelee kudumu katika kikosi hicho. Sarpong aliyejiunga na Yanga msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili, ameonekana kutokuwa na kiwango bora cha mwendelezo kiasi cha...
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Francis Kahata kuendelea kubaki Simba, huku Mghana, Bernard Morrison akitajwa kutemwa ili kumpisha profesheno mmoja. Wakati Simba wakipanga kusitisha mkataba wa Morrison, inaelezwa kuwa, mabosi wa timu hiyo wamepata ugumu wa...
WAKALA  wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Erick Kwizera 'Messi' anayefahamika kama Nkurahija Bonheur amefunguka kuwa anaamini Namungo ndiyo sehemu sahihi kwa ajili ya kukuza kiwango cha mteja wake.Kwizera amejiunga na Namungo kwenye usajili wa dirisha dogo lililofungwa Januari...
MLINDA mlango mpya wa klabu ya Azam, Mathias Kigonya amefunguka kuwa malengo yake ni kuhakikisha anacheza kwa kiwango kikubwa, ili kuliweka salama lango la klabu hiyo dhidi ya washambuliaji hatari kama Meddie Kagere.Kigonya alikamilisha rasmi usajili wa kujiunga na...