KUACHA kuipa sapoti Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa namna yoyote ile kwa Mtanzania ni makosa. Tunasema ni makosa kwa sababu hii ni timu yetu wote, hivyo tunapaswa kuipa sapoti. Kwa namna ambavyo tutazidi kuipa sapoti ikiwa inapambana...
BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesema anashangaa kuona mashabiki wa timu hiyo hawaamini, lakini ukweli ni kwamba sasa wanawania ubingwa.United walikaa kileleni kwa mara ya kwanza juzi baada ya kufanikiwa kuwachapa Burnley bao 1-0 na kufikisha...
MATHIAS Kigonya raia wa Uganda kwa sasa ni mali ya Azam FC akiwa amesaini dili la miaka miwili yeye ni kipa alikuwa anakipiga ndani ya Forest Rangers ya Zambia.Sasa ndani ya Azam FC orodha ya makipa inakuwa ni watatu...
NI muda tu unasubiriwa kwa sasa kabla ya watani wa jadi Yanga v Simba kukutana ndani ya Uwanja wa Amaan, kusaka ushindi wa taji la Kombe la Mapinduzi.Kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumatano hiki hapa kikosi kwa Simba...
BAADA ya Mabingwa mara tano wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC kutolewa na Yanga hatua ya nusu fainali kwa kufungwa penalti 5-4 kitabaki Visiwani Zanzibar kwa kambi ya siku 10.Dakika 90 za nusu fainali ya kwanza ilikamilika kwa Azam...
LEO Januari 13, Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba, Uwanja wa Amaan, kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa majira ya saa 8:15 usiku.Kwa mujibu wa gazeti la Championi limewapa nafasi wachezaji hawa kuanza kwenye kikosi cha leo mbele ya...
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mechi zao za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.Ruvu Shooting ipo chini ya Kocha Mkuu, Charles Mkwasa ambaye ni mzawa akiwa ndani...
PONGEZI kwa timu ambazo zimeshiriki Kombe la Mapinduzi kuanzia hatua ya awali ambayo ilikuwa ni ya mtoano na kila timu kuonyesha ushindani mkubwa.Kwa sasa tayari kila timu imevuna kile ambacho ilikuwa imepanda ndani ya uwanja kwa kuwa matokeo tayari...
KIPA namba moja ndani ya Klabu ya Ihefu FC, Deogratius Munish, maarufu kama Dida amesema kuwa anaamini timu hiyo msimu wa 2021/22 itabaki ndani ya Ligi Kuu Bara.Dida ameibuka ndani ya Ihefu FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila...
TAYARI ipo wazi kwa sasa fainali ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan ni kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga.Kwa kiasi fulani mashindano ya msimu huu wa 2021 yamekuwa na ushindani mkubwa kwa timu ambazo...