SELEMAN Matola, Kaimu Kocha wa Klabu ya Simba amesema kuwa anaamini kuwa mchezo wa leo utakuwa ni mgumu na atawakosa nyota wake ambao hawapo kambini ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kwa kuwa mashindano yana utaratibu wake.
LEO Januari 13 Yanga itakuwa kwenye mchezo wa kusaka Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Amaan, Cedric Kaze Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha namna atakavyoingia kwenye mchezo wa leo:-  
KUELEKEA mchezo mkali wa fainali ya kombe la Mapinduzi utakaopigwa leo kwenye dimba la Amani visiwani Unguja na kuzikutanisha Simba na Yanga, Yanga wamemuongeza mshambuliaji Saido Ntibazonkiza kikosini.Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Simba na Yanga kukutana msimu huu...
WATANI wa jadi, Simba ikiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola na Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu Cedric Kaze wanakutana leo Januari 13, 2021 katika mchezo wa fainali wa Kombe la Mapinduzi huku viingilio vikipanda.Mechi hiyo itachezwa Uwanja...
  JUMLA ya wa wanamichezo watano wameshinda kiasi cha Sh 86,844, 530 baada ya kubashiri kwa usahihi jumla ya mechi 12 kati ya 17 za ligi mbalimbali duniani kupitia droo ya Perfect 12 ya kampuni ya M-Bet.Washindi hao  wamepatisakana katika droo...
 WAKATI uliopo kwa sasa kwenye ulimwengu wa mpira ndani ya ardhi ya Bongo ni kukimbizana na masuala ya usajili kwa timu ambazo zinahitaji kuboresha vikosi vyao.Dirisha dogo ni maalumu kwa ajili ya maboresho kwa timu mabazo zimeweza kuona kwamba...
 UONGOZI wa Mwadui FC unatajwa kufanya mazungumzo na Yanga kupata saini ya mshambuliaji wao wa zamani Ditram Nchimbi.Nchimbi aliwahi kucheza ndani ya Mwadui FC kwa mkopo akitokea Azam FC kabla ya kuibukia Polisi Tanzania kwa sasa yupo zake ndani...
 FROLENT Ibenge, Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Vita ya Congo pamoja na timu ya Taifa ya DR Congo amesema kuwa anatambua kwamba mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wanamhitaji.Kocha huyo ambaye jana Januari 12 alikiongoza kikosi cha timu...
 NASRI Talib kipa namba moja wa Klabu ya Jamhuri ya Zanzibar anatajwa kuingiza kwenye rada za Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina raia Zambia.Talib alikuwa kizuizi kwa Yanga kupata ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi,...
 OLE Gunner Solskjaer,  Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake wana akili na juhudi kubwa ndani ya uwanja jambo ambalo linampa furaha.Kocha huyo ameongeza kuwa ushindi ambao wameupata mbele ya wapinzani wao unawapa nguvu ya kuendelea kufanya...