NAHODHA wa Klabu ya Azam FC, ambaye ni beki mkongwe Agrey Moris dakika ya 62 amepachika bao la ushindi mbele ya Malindi kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi. Azam FC imeshinda bao 1-0 Uwanja wa Amaan na kutinga hatua ya...
DICKSON Job beki chipukizi ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Turiani, Morogoro anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga.Habari zimeeleza kuwa mabosi wa Yanga chini ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa timu hiyo wanahitaji kufunga...
KOMBE la Mapinduzi limefika patamu ambapo leo mchezo mmoja utachezwa Uwanja wa Amaan kati ya Azam FC dhidi ya Malindi kumsaka kinara wa kundi A ambaye atatinga hatua ya nusu fainali.Kundi hili ambalo litacheza leo ni C kinara wake...
MICHEL Sarpong, mshambuliaji wa Klabu ya Yanga ambaye alijiunga na Klabu hiyo akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda leo anatimiza umri wa miaka 25 baada ya kuletwa duniani.Rekodi zinaonyesha kuwa mshambuliaji huyo mwenye mabao manne ndani ya Ligi...
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Paris Saint-Germain,(PSG) Mauricio Pochettino anahitaji saini ya mshambuliaji wa Manchester City,Sergio Aguero. Kwa mujibu wa wakala, Bruno Satin ambaye aliwahi kusimamia ishu ya usajili wa Michael Landreau ambaye ni kipa wa zamani wa timu ya...
NYOTA wa Klabu ya West Ham United, Declan Rice imeelezwa kuwa amemwambia rafiki yake kwamba hana mpango wa kujiunga na Klabu ya Manchester United. Nyota huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na Klabu ya Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar...
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC, Mpiana Monzinzi ambaye ni ingizo jipya leo anatarajia kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi hatua ya makundi.Azam FC ambao ni wababe Kwenye historia ya kutwaa mataji ya...
LICHA ya nyota wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Salum Kihimbwa kushindwa kucheza mchezo hata mmoja ndani ya Kombe la Mapinduzi kwa msimu wa 2021 amemshukuru Mungu kwa kukosa nafasi hiyo.Mtibwa Sugar ambao walikuwa Mabingwa watetezi wa taji hilo, jana...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili