IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuipata saini ya miaka miwili ya kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude kwa dau la Sh milioni 150 anazozitaka ili amwage wino Jangwani kwa siri. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa Simba umsimamishe kazi kiungo huyo...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
MAURICIO Pochettino, Kocha Mkuu wa Klabu ya Paris Sait-Germain, (PSG) anahitaji saini ya kiungo Christian Eriksen ambaye alifanya naye kazi zama zile alipokuwa ndani ya kikosi cha Tottenham. Kocha huyo ambaye alikuwa ndani ya Tottenham kabla ya kufutwa kazi...
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Januari 6 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba imepata matokeo hayo ikiwa nyumbani na kufanikiwa kupindua meza kibabe...
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Makamu wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,(kushoto), baada ya msafara wa Yanga kutembelea Ofisi ya Ikulu ya Vuga,mjini Unguja.
UWANJA wa MkapaKipindi cha kwanzaLigi ya Mabingwa Afrika Simba 1-0 FC PlatinumDakika ya 39 Nyoni Gooal Dakika ya 32 Wachezaji wa FC Platinum wanaonekana kugombea maamuzi ya penaltiDakika ya 31 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 Simba wanapata penaltiDakika ya 30...
KIKOSI cha Namungo FC kimewasili leo Januari 6,2020 salama kwenye ardhi Dar es Salaam kikitoka Sudan.Jana Januari 5 kilikuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho wa marudio dhidi ya Al Hilal Obeid ambapo ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3.Sare...
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 6 dhidi ya FC Platinum
SIMBA wanatarajiwa kuwa uwanjani jioni ya leo Jumatano kucheza dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe katika mchezo wa pili wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Huo ni mchezo wa lazima kwa Simba kushinda tena kwa tofauti ya...
KIKOSI cha Azam FC, leo Januari 6 kimewasili salama visiwani Zanzibar ambapo kimekwenda kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.Tayari michichuano hiyo imeshaanza kurindima na jana Januari 5, mabingwa watetezi Mtibwa Sugar walifungua pazia kwa kumenyana na Chipukizi, Uwanja wa...