YALE ambayo yalikuwa ni matatizo kwa mwaka 2020 basi inapaswa yawekwe kando na kutafutiwa majibu yake ndani ya 2021 kwa kuwa sasa ni mwaka mpya na yale ya kale yamepita ndani ya ulimwengu wa michezo.Taratibu Januari inaanza kumeguka kuifukuzia...
MSHAMBULIAJI Edinson Cavani anatarajiwa kukosa mechi tatu za Manchester United baada ya kukubali kosa la kutoa kauli inayoonyesha ubaguzi wa rangi. Mkongwe huyo alimuita mmoja wa wafuasi wake “negrito” katika ukurasa wake wa Instagram, kauli ambayo kwa mataifa ya Ulaya...
 IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Simba ndiyo waliomuondoa kikosini Jonas Mkude sambamba na kusimamishwa kazi kutokana na utovu wake wa nidhamu. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa timu hiyo kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez umsimamishe kiungo huyo ambaye...
 KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, raia wa Angola, amekiri kuwa mwaka 2020 ulikuwa mzuri lakini hakuweza kufanya chochote kutokana na kuandamwa na wimbi la majeraha ya mara kwa mara tangu amejiunga na timu hiyo licha ya kupokelewa na...
 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kazi ya kusaka ubingwa kwa msimu wa 2020/21 ipo palepale licha ya kumaliza kwa kupata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela.Ikiwa imecheza jumla...
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa wapinzani wao FC Platinum itakuwa ngumu kutoka kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Januari 6, Uwanja wa Mkapa.Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ina kibarua cha kupindua meza kwenye mchezo huo wa Ligi...
 ALEXANDRE Lacazette nyota wa Arsenal ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi hicho baada ya kufikisha jumla ya mabao 7 katika mechi 14 za Ligi Kuu England ambazo amecheza. Wakati Arsenal ikishinda kwa mabao 4-0 ugenini dhidi ya West...
NYOTA wa Klabu ya Yanga, Wazir Junior yupo kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kutokana na kukosa nafasi kikosi cha kwanza.Junior ambaye ni ingizo jipya aliibuka huko akitokea Klabu ya...
  KIPA namba moja wa Klabu ya KMC, mkongwe Juma Kaseja aliingia kwenye mzozo na shabiki mmoja anayedhaniwa kuwa ni wa Klabu ya Mbeya City. Shabiki huyo aliibuka ndani ya Uwanja wa Sokoine dakika za lala salama baada ya kuona lango...
 HARRY Kane nyota wa Klabu ya Tottenham Spurs inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho amesema kuwa maisha yao ndani ya timu hiyo ni ya furaha kubwa jambo linalomfanya azidi kuwa na furaha kila anapofunga.Son Heung-min na Kane wamekuwa na...