MPIANZA Monzinzi ingizo jipya ndani ya Klabu ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina amesema kuwa hesabu zake ni kufunga mabao mengi ndani ya timu hiyo ili kuipa mafanikio makubwa.Nyota huyo ambaye awali aliwekwa kwenye hesabu za...
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck imeweka rekodi ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa haijaruhusu bao la kufungwa ndani ya dakika 450 kwenye Ligi Kuu Bara.Kikosi cha Simba kimefunga jumla ya mabao 15 katika mechi tano...
IMEELEZWA kuwa mabosi wa mitaa ya Kariakoo, Simba na Yanga wanapiga hesabu ya kuipata saini ya nyota wa Klabu ya Namungo, Edward Charles Manyama ili kuinasa saini yake.Yanga walifungua njia ya kuwasiliana na beki huyo ambaye amecheza ndani ya timu...
KLABU ya Manchester City inataka kufanya mpango wa kutenga pauni 90m (Sh bilioni 281) kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane. Kocha wa Man City, Pep Guardiola anataka kufanya hivyo ili kufanikisha mtu sahihi wa kuziba pengo la...
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa kocha wa zamani wa Klabu ya Tottenham, Southampton na Espanyol amesaini dili la mwaka mmoja kuinoa Klabu ya PSG.Mkataba wake ambao unameguka Juni 2022 una kipengele cha kuongeza mwaka mwingine wa ziada ikiwa mabosi wa timu...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumapili, jipatie nakala yako ni jero
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amesema ikiwa wataendelea kupata matokeo mazuri katika kila mchezo wa Ligi Kuu Bara msimu huu basi hakuna atakayeweza kuzuia ubingwa ndani ya kikosi hicho kutokana na ubora waliokuwa nao. Yanga chini ya Kaze...
KOCHA Mkuu wa Klabu ya FC Platinum Norman Mapeza amesema kuwa anawatambua wapinzani wake Simba vizuri hawampi presha atawasumbua ndani ya uwanja na kupata matokeo.FC Platinum wametia timu leo Januari 2, Dar es Salaam na kupokelewa na uongozi wa...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Elias Mwanjala imeelezwa kuwa amefungiwa na Serikali kujihusisha na soka. Mwanjala kupitia kamati hiyo iliamuru kuwa mkataba wa kiungo mshambuliaji raia wa Ghana,...
JERAHA la mbavu alilolipata mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Yacouba Songne, limeendelea kuipa hofu Yanga juu ya uwezekano wa kukosa huduma za nyota huyo kwenye michezo ijayo. Yacouba aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana,...