YANGA kesho inatarajiwa kushuka Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Yanga itaingia uwanjani ikiwa na kumbukukumbu ya kulazimishwa sare kwenye mchezo wao uliopita mbele ya KMC kwa kufungana bao 1-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa...
SIMBA leo itakuwa na kazi ya kumenyana na Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00 jioni.Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililopachikwa...
 MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar uliokuwa leo majira ya saa 10:00 umeahirishwa hadi kesho saa 3:00 asubuhi.Mchezo huo umeahirishwa kutokana na mvua iliyonyesha muda mfupi kabla ya mchezo kuanza uwanja wa Ushirika...
.NEVER Tigere nyota wa Azam FC leo amewanyanyua mashabiki wa Azam FC kwa kulipa kisasi cha kufungwa bao 1-0 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mabatini.Azam FC leo imesepa na point tatu kwa kushinda mabao 2-1 kwenye mchezo wa...
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amesema kuwa anawaomba radhi mashabiki kwa kitendo chake cha kumchezea mchezo usio wa kiungwana kiungo wa timu ya Yanga, Fei Toto.Wakati Simba ikichapwa bao 1-0 na Yanga, Chama alimchezea rafu Fei Toto ambayo mwamuzi...
ERASTO Nyoni, beki wa timu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara atakaa nje kwa muda wa wiki mbili sawa na siku 14.Nyoni kwa sasa ni majeruhi aliumia kifundo cha mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
KIKOSI cha timu ya Taifa kilichotangazwa kwa ajili ya kuingia kambini Machi 12 kuiwinda timu ya Taifa ya Tunisia
HIKI hapa kikosi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Uhuru
Azam FC V Ruvu Shooting, Uwanja wa UhuruMbeya City v Mbao FC, Uwanja wa Sokoine.Coastal Union v Lipuli, Uwanja wa Mkwakwani.JKT Tanzania v Mwadui FC, Uwanja Jamhuri.Namungo FC V Biashara United, Uwanja wa Majaliwa.Ndanda v Kagera Sugar.Polisi Tanzania v...
SIMBA kesho ina kazi mbele ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni.Wapinzani wa Simba, Singida United wapo kwenye hatari ya kushuka daraja jambo linaloongeza ugumu kwenye mechi...