NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa ilikuwa ni mpango kazi wa wachezaji kucheza kwa kujituma mwanzo mwisho kupata matokeo chanya kwenye mchezo wao wa watani wa jadi dhidi ya Simba na kuwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi.Simba...
MICHEZO yote ndani ya nchi ya Italia imesimamishwa kwa muda kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona nchini Italia ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu ya Serie A na Tokyo Olympics.Waziri Mkuu wa Italia, Giuseppe Conte amethibitisha hayo Machi...
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa kuchapwa kwao mbele ya Yanga sio mwisho wa mapambano.Bocco mwenye mabao matatu na pasi moja ya bao alishuhudia timu yake ikichapwa bao 1-0 na watani zao wa jadi Yanga kwenye mchezo wa...
MSHAMBULIAJI wa timu ya Ndanda SC ya Mtwara, Vitalis Mayanga amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020.Nyota huyo anayekipiga ndani ya Ndanda FC ya Mtwara amewashinda Reliants Lusajo na...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amewapoteza makocha wenzake wawili ndani ya Ligi Kuu Bara ndani ya mwezi Februari alioingia nao kwenye kuwania tuzo ya kocha bora.Sven ameteuliwa na Kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania...
NYOTA wa Azam FC, Andrew Simchimba amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi hicho na ataendelea kuonyesha juhudi ili kufikia malengo aliyojiwekea yeye pamoja na timu.Nyota huyo amerejea nyumbani baada ya kutolewa kwa mkopo kuitumikia timu ya Coastal Union...
JAFFARY Mohamed, beki kiraka wa Yanga amesema kuwa hakuwa na presha alivyopangwa kucheza na Simba kutokana na kuamini uwezo wake na kuwajua wapinzani wake vizuri.Mohamed alionyesha uwezo wa hali ya juu kwenye mechi ya dabi ambayo kwake ilikuwa ya...
MIKEL Arteta Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakicheza kwenye kiwango anachokipenda.Arteta amekuwa akiwatumia makinda kwenye mechi za hivi karibuni na wakati akishinda kwa mabao 2-0 mbele ya Portsmouth kwenye mchezo Kombe la FA England.Mabao ya...
HARRY Kane, straika wa timu ya Tottenham iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo.Inaelezwa kuwa nyota huyo kwa sasa anafikiria kuibukia ndani ya Manchester United ili kupata changamoto mpya.Kane kwa...
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa King Power kati ya Leicester City dhidi ya Aston Villa usiku wa kuamkia leo mambo yamekuwa mazito kwa Villa ya Mbwana Samatta baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-0.Harvey Barnes...