KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Simba, Said Ndemla amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya msimu ujao hivyo kwa sasa anafikiria kwenda kucheza nje ya nchi msimu ujao ikishindikana atasaini hata Yanga.Ndemla msimu uliopita amekuwa na changamoto ya kupata namba...
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad ameitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo kufuatia sintofahamu katika mchezo wa pili wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika. Mei 31 nchini Tunisia kati ya wenyeji...
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa kilichowaponza wakapoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Azam FC jana uwanja wa Ilulu ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.Lipuli ilikubali kupoteza dakika ya 64...
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba moja wa kikosi cha Yanga, Klaus Kindoki anawindwa na klabu ya Singida United ili kuongeza nguvu upande wa ulinzi msimu ujao.Kindoki raia wa Congo hajawa na msimu mzuri kwenye kikosi hicho kutokana na kufanya...
IMEKUWA kawaida kwenye mitandao ya kijamii, hasa kurasa za Instagram ama kwenye makundi ya WhatsApp kusambaza kipande cha wimbo wa  Mkono wa Bwana pindi mambo yanapokuwa tofauti.Kwa mfano kwa upande wa michezo siku ambayo timu iliyokuwa haijapewa nafasi ya...
LEO Jumapili uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa hisani kwa timu ya Ally Kiba na Mbwana Samatta inayokwenda kwa jina la Nifuate ambao ni wa hisani lengo ni kurejesha wanachokipata kwa wenye mahitaji.Hiki hapa ni kikosi cha Ali...