Mbwana Samatta nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' amesema kuwa hakutarajia kupewa tuzo za heshima na uongozi wa Global Group jambo ambalo limemshangaza alipotembelea ofisi za Global Group jana.Samatta ambaye anayekipiga KRC Genk, leo atakuwa uwanja wa...
Imeelezwa kuwa Mshambuliaji kimataifa kutoka Zambia na klabu ya Zesco United, Kalengo Maybin mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga.Taarifa zinasema tayari beki huyo na klabu wameshamalizana tayari kwa maandalizi ya...
Kiungo aliyerejea kwenye fomu yake na kuwa tegemo ndani ya kikosi cha Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amezungumzia ofa alizozipata mpaka sasa nje ya timu yake.
Meneja wa straika wa Simba Meddie Kagere, Patrick Gakumba akizungumzia dili za mchezaji wake kwenda kucheza soka nje ya nchi.
Straika wa Simba, Meddie Kagere akifunguka juu ya hatma yake na wekundu wa Msimbazi baada ya msimu huu kumalizika.
LIVERPOOL imefuta machungu ya kukosa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita mwaka 2017/18 ilipochapwa mabao 3-1 na Real Madrid baada ya jana kufanya hivyo mbele ya Tottenham Spurs kwa ushindi wa mabao 2-0 uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid.Hii ni...
Imeelezwa kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni...
LEO Jumapili hutakiwi kukosa pale Uwanja wa Taifa kwani mastaa Mbwana Samatta na Ally Saleh Kiba na timu zao watakuwa wakionyesha umwamba katika mchezo maalum uliopewa jina la Nifuate huku kila upande ukitamba kuwa lazima ushinde.Mchezo huo ni maalumu,...
Kiungo machachari wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote ya kuongeza mkataba na kwamba hilo halimtishi kwani ana ofa kibao.Niyonzima alijiunga na Simba misimu miwili iliyopita akitokea Yanga,...
BAADA ya juzi kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, kiungo mshambuliaji mpya Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amemuulizia Ibrahim Ajibu akitaka kujua anabaki au anaondoka Jangwani.Bigirimana alisaini mkataba huo juzi baada ya kufi kia makubaliano mazuri na viongozi...