Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefunguka staili yake ya kushangilia aloitumia baada ya kufunga bao katika mechi ya ufunguzi kwenye Ligi Kuu dhidi ya KMC iliyochezwa Uwanja wa Azam Complex wakiibuka na ushindi wa 5-0.
Mudathir alionekana akitoa ‘Shin Gurd’...
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa anafurahi kuona mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni anaanza kufunga mabao ndani ya timu hiyo huku akiamini makubwa kutoka kwa mchezaji huyo.
Konkoni ni ingizo jipya ndani ya Young Africans akisajiliwa kutoka...
Wakati Nabi alipotangaza kuondoka Yanga na kisha benchi lake zima la ufundi likamfuata katika mlango wa kutokea pamoja na straIka kinara Fiston Mayele, wengi walitaka kujua warithi wao watafanya nini cha kuweka alama - lakini kama kuna chochote basi...
Kocha mkuu wa Klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi ametaja sababu za kutomwanzisha kwenye mechi zake mshambuliaji wake mpya Hafiz Konkoni akisema kuwa bado anampika zaidi.
Gamondi amesema kuwa Konkoni ni mshambuliaji tegemeo hivyo lazima amlinde kwa kumuandaa vizuri kisaikolojia,...
Winga wa Klabu ya Yanga, Skudu Makudubela amerea nchini Tanzania akitokea kwao Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu baada ya kuumia kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC.
Skudu amerejea na mkewe...
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewatupia dongo Klabu ya Azam baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Klabu ya Bahri ya nchini Ethiopia jana usiku kwa mikwaju ya penati.
Kamwe amedai kuwa kwa...
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ameitaka Klabu ya Al-Merreikh ya Sudan kusema mapema kuwa mchezo wao wa Kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika watachezea nchi gani.
Kauli hii ya Kamwe inakuja baada ya Merreikh kufanikiwa kufuzu hatua...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo