Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Leo Watanzania wanaweza kubeti kwenye mpira wa miguu, mpira wa kikapu, tenisi, riadha, ngumi na michezo mingine mingi. Matokeo yake, mashabiki wa michezo wanapata nafasi ya kufikia mjukwaa bora ya kubashiri michezo ya mtandaoni nchini Tanzania. Katika mwongozo huu, tutakuonyesha...
Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya kukutana na wanyama wa porini, na furaha kubwa kati yao itatoka kwa mbwa mwitu. Karibu kwenye mahali pa burudani...
Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga hivi karibuni. Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya...
Ninakuleta tena kwenye safari isiyoweza kuepukika katikati ya msitu wa mvua. Utapata kuona kila kitu ambacho msitu wa mvua unaweza kukuoa mtonyo mwingi sana, Ili kuongeza uzuri wa mambo, kuna mshangao maalum ambao utaongeza ladha kwenye burudani hii ya...
HUENDA muda wowote kuanzia leo, Simba inaweza kumalizana na straika wao raia wa Zambia, Moses Phiri ili kumpisha kiungo mkata umeme raia wa Togo, Novon Efoe. Msimu uliopita, Efoe alikuwa akikipiga kwenye Klabu ya ASKO Kara ya kwao Togo, ambayo...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho', amesema kuwa bado anampika kiungo mshambuliaji wake, Luis Miquissone na anaamini atarejea katika ubora wake ambao aliondoka nao Simba mwaka 2021. Robertinho amesema hayo jana mara baada ya...
Kuna hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika watatu wanaumiza vichwa vya vigogo wa timu hiyo huku jina la Simon Msuva likirejea mezani. Yanga...