Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Hatimaye ile promosheni kubwa Zaidi ya Vuna zaidi na Meridianbet iliyozinduliwa Agosti 2 mwaka 2023 imeanza kutoa washindi, wiki hii simu zimetoka sana pale Meridianbet. Kwa ushirikiano na kampuni ya mawasiliano ya simu hapa nchini Airtel inayotoa huduma ya miamala...
Mkurugenzi na Rais wa Kampuni GSM Group, Ghalib Said Mohamed ambae pia ni Muwekezaji mdhamini Mkuu wa Young Africans amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya jana kumalizika kwa fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kati Yanga SC dhidi...
Aliekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo ambae pia ni shabiki kindaki ndaki Klabu ya Simba, Boniface Jacob ameeleza kile alichokiona katima mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii kati yao na Yanga SC. Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa CCM...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza baada ya mchezo wa Ngao ya Jami, kati ya Young Africans dhidi ya Simba SC. Utata ulioibuka ni namna Mlinda Lango wa Simba SC, Ally...
Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa. Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 15, 2023 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema kuwa hana mpango wa kuihama klabu yake ya Yanga licha ya kupoteza mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya watani wao wa jadi, Simba Sc, juzi. Mchezo huo ulipigwa katika Dimba la CCM...
Uongozi wa Young Africans, umebainisha kuwa, timu yao itarejea ikiwa imara, huku wakihamishia nguvu kwenye mashindano mengine ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Azam Sports Federation na Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba, Young Africans ni mabingwa watetezi wa...
Kocha Mkuu wa Azam FC Youssouf Dabo ameondolewa kwenye orodha ya Makocha watakaokaa kwenye Mabenchi ya Ufundi wakati wa Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24, ambayo rasmi imeenza leo Agosti 15. Dabo ambaye alianza kazi rasmi Azam FC wakati...