MABOSI wa Simba, wameweka wazi mkakati wao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Afrika Super League, bila ya kuangalia watapangwa na mpinzani wa aina gani wakiwemo Al Ahly ya Misri na Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini.
Simba wametoa kauli...
MFADHILI wa zamani wa Simba, Azim Dewji amemuangalia beki mpya, Che Malone Fondoh kisha akajikuta anafurahia tu kazi yake akidai jamaa ni beki wa maana sana,
Dewji alisema Che Malone ni beki wa kisasa ambaye uchezaji wake eneo la ulinzi...
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake.
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema...
Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Yanga ilishuhudia rekodi yake ya kutwaa Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo...
Wachezaji wapya wa Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast na Hafiz Konkoni kutoka Ghana, jana walianza kazi rasmi ndani ya kikosi hicho.
Pacome ambaye ni kiungo na Konkoni akicheza nafasi ya ushambuliaji, jana kwa mara ya kwanza waliitumikia Yanga...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kushindwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya wapinzani wao Simba Sc.
Gamondi amesema hayo mara baada ya...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
WAKATI joto la fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba Agosti 13 likizidi kupanda, makocha wa timu hizo wametambiana kila moja timu yake kushinda mchezo huo wa watani wa jadi.
Wametoa tambo hizo jijini Tanga leo wakati...
Timu zote zimetoka kucheza mechi za Nusu Fainali na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali, kuuendea mchezo wa Fainali ya watani wa Kariakoo itakuwa tofauti na ambavyo waliingia kwenye mechi za Nusu Fainali.
Mechi ya watani huamsha ari kwa wachezaji ambayo wakati...
KLABU ya Simba, imefanikiwa kumsajili kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, akitokea FAR Rabat ambapo anaenda kuungana na Ally Salim, Hussein Abel na Aishi Manula ambaye kwa sasa ni majeruhi.
Kwa mujibu wa Mtandao wa Transfermarkt unaojihusisha na masuala ya...