Meneja wa beki wa kulia Djuma Shabani, Yasmin Razak amesema mteja wake yuko kwenye vikao na uongozi wa Young Africans kuona namna gani wanamalizana ili aendelee na maisha yake na si kweli kuwa amesaini kuitumikia klabu ya TP Mazembe...
Kigezo cha uzoefu wa mashindano ya kimataifa, kimeonekana kuwa sababu kuu iliyoishawishi Simba kumsajili kipa Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco ambaye leo klabu hiyo imemtambulisha rasmi kama usajili wao mpya msimu huu. Kipa huyo mwenye umri wa miaka...
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amesema huu ni msimu wao wa kurudisha heshima na kubeba mataji yote ambayo wameyapoteza katika misimu miwili iliyopita. Simba ni miongoni mwa timu zilizotumia gharama kuimarisha kikosi chake kufuatia mwenendo mbaya katika kipindi cha...
Wanamwita Guardiola Mnene, wakimlinganisha uwezo wake wa ukocha Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ‘Boli linatembea’. Huyu ni straika wa zamani wa Coastal Union na Taifa Stars, kwa sasa ni mmoja ya makocha wazawa wenye mzoefu mkubwa na amezinoa Coastal,...
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM Mkwakwani Tanga. "Nimeiandaa timu yangu kucheza vizuri wakati hawana mpira, kucheza kwenye eneo la mpinzani,...
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa, AYOUB LAKRED kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa Mkataba wa miaka miwili. Lakred (28) ameiongoza FAR Rabat kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco na kuifikisha Nusu fainali ya CAFCC. Lakred anakuja Tanzania...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii, amesema kuwa timu hiyo inahitaji muda kidogo kucheza katika mifumo yake. Yanga katika mchezo huo...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa , baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye msimu mpya wa soka barani ulaya umerejea na ukiwa na Meridianbet una nafasi kubwa ya kupiga maokoto kibao kwani Meridianbet wana kila kitu ambacho unakitaka wewe. Unasubiri...
Leo ni siku ya kusisimua kwa wapenzi wa soka duniani kote, muda wa kuokoteza maokoto ya maana M-Bet umewadia! kwani msimu mpya wa ligi za soka 2023/2024 unaanza. EPL, Ligue 1, Bundesliga, La Liga, Saudia Arabia Pro League zote...
Klabu ya Simba wanatarajia muda wowote kumtangaza kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, aliyehudumu takribani misimu minne katika klabu ya mabingwa wa Morocco msimu uliomalizika FAR Rabat. Msimu uliopita ndiye aliyekuwa kipa namba moja wa FAR Rabat, akikaa langoni mara...