Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa 'Taifa Stars' ambayo inajiandaa kuikabili DR CONGO Jumanne ya kesho. Katika kusherehesha Watanzania kwenda uwanjani kuipa...
Semaji la Simba Sc Ahmed Ally, anasema siku ya Tarehe 19 Oktoba katika Dimba la Benjamin Mkapa Wananchi wanaenda kukaangwa kwenye mchezo wa Derby ya Kariokoo hivyo wana lunyasi wajitokeze kwa wingi siku hiyo. Ahmed ameyasema hayo akiwa Tabata Kimanga...
Kuelekea mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo, Oktoba 19 tayari mambo yamezidi kupamba moto, ambapo joto kali limezidi kupanda kwa kasi kwenye kambi za Simba na Yanga. Wakati hiyo yanaendelea, nao wachambuzi na wadau mbalimbali wa Soka wameendelea kutoa maoni...
WALINDA Mlango wa Simba na Yanga Ally Salim Katolo na mwenzake AbdulTwalib Mshery wanategemewa sana na taifa, lakini nafasi zao za kucheza kwenye vilabu vyao ni finyu. Hayo yamesemwa na Mchambuzi wa michezo nchini kupitia kituo cha redio cha Crown...
Wakali wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wanakukaribisha wewe ambaye hujawahi kutumia meridianbet kufanya ubashiri na wewe pia ambaye ni mwenyeji kufanya ubashiri kwenye mechi za leo, ambazo kushinda leo ni rahisi sana. Leo hii Liechtenstein ataumana dhidi ya Gibraltar huku...
Unyama Upo Kasino tu, Jiandae kuibuka na Mamilioni kwa kucheza mchezo wa Sloti ya 100 Super Icy, unapatika kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Kucheza kasino unatakiwa kujisajili hapa kisha andaa mtaji mdogo upate mkwanja mrefu. 100 Super Icy ni...
Wakati Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema malengo yake ni kumaliza kinara katika Kundi A kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika watani zao, Yanga wanawaza kutoa kichapo katika mechi ya dabi itakayochezwa Oktoba 19, mwaka huu. Simba imepangwa...
Kazini kwa mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Jean Baleke kuna kazi. Unajua kwa nini? Ni kutokana na viwango vya Clement Mzize na Prince Dube ambao wanaonekana kufiti vilivyo katika safu ya ushambuliaji ya Yanga kwa sasa chini ya...
Ikiwa leo ni Jumamosi ya Tarehe 21 Oktoba, Meridianbet imeendelea kuonyesha moyo wake wa kujitoa kwa jamii kwa kuipatia timu ya Sinza Star FC msaada wa mipira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kampuni hiyo kusaidia maendeleo ya michezo...
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa presha wanayokutana nayo kati ya Azam FC tofauti na Kariakoo Derby. Amesema mechi hiyo dhidi ya Yanga wanatakiwa wanasimba wote kuungana na kuwa kitu kimoja katika...