Home Uncategorized NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI...

NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS


Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.

Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa  nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.

Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye kambi ya Marbella na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya awali ya mchezo wa fainali.

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitiha kwamba hatamtumia mshambuliaji huyo kwenye mchezo wake wa fainali utakaopigwa Juni Mosi.


SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED WAMEAMUA KUINASA SAINI YA KINDA HUYU