Home Uncategorized TPL: YANGA 0-0 AZAM FC

TPL: YANGA 0-0 AZAM FC

MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani wake.

Mchezo huu una ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinatafuta heshima kwenye uwanja wa Taifa leo ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa msimu huu.

SOMA NA HII  WAWILI WATWAA TUZO NDANI YA ALLIANCE