Home Uncategorized MZUNGU WA AZAM FC ALIA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI

MZUNGU WA AZAM FC ALIA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI

ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wanashindwa kutumia nafasiwanazozipata jambo linalowapa ugumu kusepa na pointi tatu.
Azam FC imefunga  mabao 37 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20 huku mbaya wao wa kutupia akiwa ni Obrey Chirwa mwenye mabao nane.
Safu hiyo ushindi wake mkubwa iliyopata ni mbele ya Alliance FC ambapo walifunga mabao 5-0.
Cioaba amesema kuwa washambuliaji wake wanapoteza nafasi nyingi wakiwa ndani ya 18 jambo linalowafanya washinde kwa mabao machache kwenye mechi zao za ligi.
SOMA NA HII  MASHABIKI WA YANGA WALIOWAPIGA WALE WA SIMBA WAFUNGIWA