Kutoka Young Africans
Salamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia ‘kiroho mbaya’, ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.
Abdulaziz Makame, karibu Yanga, hongera kwa kujiunga na Mabingwa wa kihistoria.