Home Uncategorized BEKI KISIKI YANGA AOMBA KWENDA ULAYA

BEKI KISIKI YANGA AOMBA KWENDA ULAYA

BEKI wa timu ya Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema kuwa kwa sasa mipango yake ni kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi ili kujaribu changamoto mpya.

Ninja kwa sasa mkataba wake unakaribia kuisha ndani ya Yanga, ambapo Juni 15 siku ya kubwa kuliko mkataba wake unaelezwa kufika tamati.

“Mpira ni kazi yangu na ninajituma ili kuwa bora siku zote, kwa sasa naona ni wakati wangu wa kupata changamoto nyingine nje ya Tanzania,” amesema Ninja.

SOMA NA HII  SIMBA YENYE MAUMIVU YAIFUATA MTIBWA SUGAR YENYE HASIRA