Home Uncategorized BREAKING; SIMBA YASAJILI WABRAZIL WATATU

BREAKING; SIMBA YASAJILI WABRAZIL WATATU


BEKI Tairone Santos da Silva  (30) amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba.

Santos Amejiunga na Simba akitokea timu ya Atletico Cearense FC ya nchini Brazili.
Huya anakuwa ni Mbrazili wa tatu kusaini ndani ya Simba baada ya kuanza na mshambuliaji Wilker Henrique da Silva, kiraka Gerson Fraga Viera na huyu wa leo Santos.
SOMA NA HII  KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA