Home Uncategorized BWALYA AITAMANI VIBAYA SIMBA – VIDEO

BWALYA AITAMANI VIBAYA SIMBA – VIDEO


Taarifa zilizopo zinasema kuwa mchezaji Walter Bwalya kutoka Nkana Red Devils ya Zambia ameipa nafasi ya kwanza Simba kumalizana endapo watafikia makubaliano ya dau la usajili na mkataba.

SOMA NA HII  POLISI TANZANIA:TUTAFUNGA MABAO MENGI KWA MIPIRA ILIYOKUFA