Home Uncategorized ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO

ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO


Kufuatia ile ishu ya mchezaji wa Simba, John Bocco kuonekana akisaini mkataba mwingine na Polokwane ya Afrika Kusini, uongozi wa klabu hiyo chini ya Ofisa Mtendaji wake, Crescentius Magori, umefunguka kwa kuja na tamko juu ya suala hilo.

SOMA NA HII  JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here