Home Uncategorized KMC KUMENOGA, WAWILI WAPIGWA PINI NDEFU

KMC KUMENOGA, WAWILI WAPIGWA PINI NDEFU


UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla nyota wao wawili ndani ya kikosi hicho.

KMC walianza jana kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba wake utamalizika mwaka 2022.

Leo pia mshambuliaji Charles Ilanfia ambaye mkataba wake wa awali kubakisha miezi sita tu ameongezewa kandarasi ya miaka mitatu mpaka mwaka 2022. 

SOMA NA HII  LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here