Home Uncategorized KMC YAZIMA MAZIMA NDOTO ZA YANGA, SI MCHEZO

KMC YAZIMA MAZIMA NDOTO ZA YANGA, SI MCHEZO


UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

KMC imewaongezea mkataba wake nyota wake wawili, Hassan Kabunda pamoja na Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia ambao wote walisajiliwa na klabu hiyo msimu uliopita.

Wachezaji hao wote wawili tangu kipindi cha dirisha dogo na baada ya ligi kumalizika wamekuwa wakihusishwa na kujiunga na klabu ya Yanga ambayo inafundishwa na Mwinyi Zahera.

Uongozi wa klabu hiyo kupitia taarifa yao maalum ulisema: “Tumemuongeza Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia mkataba wa miaka mitatu baada ya kubakiza muda wa miezi sita kuwa ndani ya klabu hiyo hivyo ataendelea kuwa ndani ya klabu mpaka mwaka 2022.”

Mbali na huyo juzi klabu hiyo ilimuongezea nyota wake Hassan Kabunda mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyphiyo kwa msimu ujao huku nyota huyo alikuwa akitajwa kuwa huenda angejiunga na klabu ya Azam FC ambako ameenda aliyekuwa kocha wa timu hiyo,

SOMA NA HII  AZAM NAO KUKIWASHA USIKU DHIDI YA SIMBA, TAIFA