Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu ya Taifa stars huku akisema kuwa hana Imani kama timu ya Taifa itafika hatua ya fainali.