Home Uncategorized MAURIZIO SARRI KIBOKO KWA SIKU ANAVUTA ‘MISIGARA’ KIBAO

MAURIZIO SARRI KIBOKO KWA SIKU ANAVUTA ‘MISIGARA’ KIBAO


MENEJA wa Juventus, Maurizio Sarri amesema kuwa huwa anavuta sigara nyingi kwa siku ili kujiskia vizuri baada ya mechi.


Sarri ambaye ametimka Chelsea kwa kile kilichoelezwa ktokuwa na maelewano na mashabiki kutokana na mfumo wake kwa sasa yupo Juventus.

“Kwa siku navuta sigara 60, ninapokuwa mchezoni huwa sijiskii kuvuta lakini lakini mda mfupi baada ya mechi ni lazima nivute,” amesema Sarri.

SOMA NA HII  ROBERTINHO ATAMBA AWAPA NENO HILI MASHABIKI