Home Uncategorized MTU KABEBA MILIONI SABA ZA SPORTPESA KWA ULAINIIIIIIII…..

MTU KABEBA MILIONI SABA ZA SPORTPESA KWA ULAINIIIIIIII…..


Mkazi wa Kinondoni Bwana Bakari Mustapha Salum, akikabidihiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 7 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 za JackPot ya SportPesa.Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa SportPesa Bi. Sabrina Msuya.

SOMA NA HII  SIMBA WAANZA KUIFUATA SUMBAWANGA KWA AJILI YA FAINALI YA FA