Home Uncategorized Vieira?

Vieira?

Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.

Je ndiye ambaye analelekea kutua katiks klabu ya Simba Sc?

The post Vieira? appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  EYMAEL WA YANGA AMPA MAJUKUMU MAZITO MUIVORYCOAST