Home Uncategorized Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…

Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…

Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.

Mwinyi Haji tayari amemaliza mkataba wake na Yanga na mpaka sasa uongozi wa Yanga upo kimya huku nafasi yake akiwepo Gadiel Michael na pia akiongezwa Mrundi Sibomana hivyo kuzidi kuweka ufinyu wa nafasi katika klabu ya Yanga

The post Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni… appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  HILI HAPA JESHI KAMILI LA WAZEE WA KUPAPASA RUVU SHOOTING DHIDI YA SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here