Home Uncategorized MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEO

MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEOSimba wametoa ufafanuzi kuhusu suala la udhamini wa Mzee Kilomoni ndani ya klabu ya Simba huku wakisema kuwa Mzee Kilomoni siyo mdhamini hivyo atambuliki katika klabu hiyo huku wanasimba wakitaka waachane na maneno yake.

SOMA NA HII  VIDEO: KAKOLANYA AFUNGUKA SABABU ZA KUSAINI SIMBA, KUHUSU TAIFA STARS .......

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here