Home Uncategorized NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE

NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE


IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John Bocco, sasa wamegeuza kibao kwa kumtaka nyota mwingine akazibe nafasi ya Bocco.

Habari zimeeleza kwamba baada ya Uongozi wa Polokwane kushindwa kuipata saini ya Bocco sasa wamezungumza na uongozi wa Simba ili kuipata saini ya Adam Salamba.

 Hivyo kama mambo yatakwenda sawa huenda mchezaji Salamba akatimkia kukipiga Polokwane FC.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA AZAM FC VS FASIL KENEMA